
Furaha kwa wachezaji na wapenzi wa
Manchester United baada ya kuibamiza timu ya Wolverhampton bao 5-0 bila
ya huruma kwenye mechi iliomalizika hivi punde mpango mzima wa mechiya
leo. Subs: Amos, Giggs, Smalling, Park, Young, Fabio Da Silva,
Pogba. Booked: Welbeck.
Wafungaji : 21; Valencia 41; Welbeck 43; Hernandez 56, 61.
No comments:
Post a Comment