Sunday, 4 November 2012

KWA MAHITAJI YA VINYWAJI NA GESI YA KUPIKIA NI DANNY MINI SHOP~NJOMBE


Vinywaji vya kila aina vinapatikana ndani ya Danny Mini shop mjini Njombe

Tunafurahi kuhudumia wateja wetu

Pia tuna Mitungi ya gesi kwa ajili ya kupikia
Danny Mini shop ni duka la vinywaji na bidhaa mbalimbali zinazopatikana Super Market, pia ni wakala wa gesi za ORYX kwa ajili ya kupikia, ndani ya duka hili pia utapata huduma ya M-Pesa.
Tunapatikana Njombe Mjini barabara kuu ya Songea mkabala na Soko Kuu au tupigie kwa namba 0756145732
Usihangaike kuja na pesa uje na kadi ya benki mastercardkwani tuna huduma ya kisasa kuchanja

Karibuni sana



No comments:

Post a Comment