Showing posts with label Advertisement. Show all posts
Showing posts with label Advertisement. Show all posts
Tuesday, 30 July 2013
Saturday, 15 June 2013
BUSINESS, BALANCE & BEYOND WITH AZIM JAMAL JULY 19, 2013. BOOK NOW!!!!!!
International motivational speakers in Dar es Salaam, LIVE SEMINAR plus DINNER+NETWORKING WITH AZIM JAMAL,Meet with more than 1500 executive people from different companies from More than 10 countries In Africa and Outside Africa...are you a businessmen?This is profitable investment You have to chose...ASAP! Book now!!!! call +255 717 109 362
Tuesday, 19 February 2013
LINK RAHISI ZA MATOKEO yA KIDAtO CHA NNE (POST SPONSORED BY UNISQO COMPUTERS)
Friday, 15 February 2013
MAJINA YA WALIMU WAPYA WA SHULE ZA MSINGI MWAKA 2012/13...!!!
Walimu
wote waliopewa ajira ya Ualimu Serikalini ambao majina yao yametangazwa
katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya
Waziri Mkuu- TAMISEMI, wanatakiwa kuripoti tarehe 01 Machi 2013 kwenye
Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri walikopangiwa kwa ajili ya kupangiwa
Vituo vya kazi. HAKUNA MABADILIKO YA VITUO VYA KAZI YATAKAYOFANYWA.
Mwalimu anatakiwa kwenda na vyeti vyake halisi vya taaluma na cheti cha
kuzaliwa pamoja na nakala zake. Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe
9 Machi 2013 atapoteza nafasi hiyo.
Wednesday, 7 November 2012
SPONSORED::KWA MAHITAJI YA VIFAA VYA UJENZI NA UMALIZIAJI NJOMBE NI MGUHILO GENERAL SUPPLIES BUILDING AND FINISHING MATERIALS
Kwa mahitaji ya gypsum aina zote, masinki aina zote, maru maru, cement, vioo pia vitu vya aluminium kama vile meza , shelves, milango , makabati n.k
Duka kubwa kwa usambazaji wa vifaa vya ujenzi fika MGUHILO GENERAL SUPPLIES BUILDING AND FINISHING MATERIALS mjini Njombe.
Tupo karibu na Njombe Hotel karibu na soko kuu, kwa bidhaa zenye ubora kwa majengo, sisi ni jibu.
Masinki bora kabisa ya aina mbali mbali yanapatikana
Subscribe to:
Posts (Atom)

