Friday, 29 June 2012

Snoop Dogg ashikiliwa na bangi katika kiwanja cha Ndege Nchini Norway


Snoop Dogg fined in Norway
Rapper Snoop Dogg ashikiliwa huko Norway baada ya kutambulika kuwa alichukuwa bangi yenye uzito chini ya  grams 15 kwenye kiwanja cha ndege kilichopo Kjevik.

Snoop Dogg alitozwa faini kutokana na tukio hilo, alipokuwa akielekea Nchini Norway kushiriki katika tamasha la Norway's Hove Festival.

No comments:

Post a Comment