Friday, 29 June 2012

Super Mario Balotelli aipandisha Italy Matawi ya juu


Centre of attention: Mario Balotelli rips his shirt off and poses following his crucial second
Mario Balotelli  baada ya kufunga bao akionyesha hasiri za ukakamavu wa kazi aliowaahidi 

Katika kinyang'anyiro cha kuwania kombe la  UEFA EURO 2012 timu ya Italy imefanikiwa kutinga fainali Baada ya pambano hilo la vuta nikuvute na hatimae Italy kufanikiwa kushinda magoli 2-1 yaliofungwa na Mario Balotelli dhidi ya timu ya Ujerumani.

Fainali Timu ya Italy itapambana na Spain siku ya Jumapili July 1,2012 ambae atakae shinda hapo ndio atakaetunukiwa kombe la ushindi wa UEFA EURO 2012

Solid defence: Germany were thwarted by the Italians
Wachezaji wa Ujerumani walikupovamia lango la Italy kipindi cha kwanza bila ya mafanikio

No comments:

Post a Comment