Saturday, 12 May 2012

BREAKING NEWS::MELI YA SEAGAL YAHARIBIKA ENEO LA NUNGWI


Habari zilizotufikia hivi punde inasemekana kuwa meli ya Seagal inayofanya safari zake kati ya Pemba na Unguja imeharibika eneo la Nungwi eneo ambalo meli ya Mv Spice ilizama. Tuwaombee abiria wanaosafiri na meli ya Seagal wapate msaada haraka kabla maafa hayajatokea. Habari zinasema meli hiyo imeharibika katikati ya bahari eneo la Nungwi ilipozama Mv Spice...
Source: Radio One Sterio

No comments:

Post a Comment