Friday 1 February 2013

NAFASI ZA KAZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI IDARA YA UHAMIAJI

Kamishna Mkuu wa idara ya Uhamiaji anatangaza nafasi za kazi katika Idara ya Uhamiaji kwenye
vyeo vya Koplo na Kontebo wa uhamiaji.
A: MAJUKUMU NA KAZI ZA KUFANYA
(i) Kulùngua, kupanga na kutunza majalada yenye orodha ya majina ya watumiaji wa huduma
za Uhamiaji.
(ii) Kuandika Hati mbalímbaLi za Ubamiaji
(iii) Kufanya Doria schcme za Mipakani, Bandarini, Vituo vya Mabasi, treni na sehemu zenye
vipenyo vya kuingia na kutoka nchini vikiwcmo vya majini.
(iv) Kusindikiza watuhumiwa wa kesi za Uhamiaji Mahakamani pamoja na wageni
wanaofukuzwa nchini (Deporters).
Kufanya ukaguzi kwcnye mahoteli, nyumba za kulaLa wageni na sehemu za biashara.
(vi) Kuchapa au kuandika kwa kompyuta barua au nyaraka mbalimbali zinazohusu kazi za kila
siku za Uhamiaji.
(vii)Kufanya matengenezo/ukarabati wa mitambo na vitendea kazi vya Uhamiaji.
B: SIFA ZINAZOIHTAJIKA
t. KONTEBO WA UHAMIAJI (NAFASI 20)
j. Awe amehitìmu Kidato cha nne na kufaulu.
ii. Umri usiozidi miaka thelathini(30).
2. KOPLO WA UIIAMIAJI (NAFASI 10)
I. Awe amehitimu kidato cha sita na kufaulu
ii. Umri usiozidi miaka arobaini(40).
C: SIFA ZA ZIADA
(I) Ujuzi na elimu ya kompyuta na uandishi mzuri utazingatiwa.
(ii) Cheti cha ufundi stadi (Full Technical Certificate) kwenye fani ya umeme na mitambo.
(iii) Mwenye cheti au Stashahada ya Uhazili (Certificate or Diploma in Secretarial Studies)
katika chuo kinachotambulika na Serikalì.
(iv) Cheti au Stashahada ya Takwimu (Certificate or Diploma in Statistics) kutoka Chito cha
Takwimu Mashariki mwa Afrika (Eastern Africa Statistical Training Centre) au chuo
chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Cheti au Stashahadayavyombo vyaMajini (Certificate orDiploma in Marine Transportation
and Operation) kutoka katika Chuo cha Bandan (Dar es Salaam Marine Institute) au Chuo
kinachotambulika na Serikali.
(vi) Lcseni ya gari Daraja “C”, cheti cha majaribio ya Ufundi Daraja la II pamoja na cheti cha
mafunzo ya Juu ya Udereva wa magari Daraja la IL (Advanced Drivers Course Grade 11)
kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
(vii) Mwombaji atafikiriwa zaidi endapo atakuwa na uzoefu wa kazi za kiuhamiaji.
D: UWASILISHAJI WA MAOMBI
Barua ya maombi ziainbatanishwe na:
(I) Vivuli vya vyeti vya kumalizia masonia kwa mujibu wa sifa zilizotajwa.
(ii) Nakala ya “Leaving Certificate”
(iii) Nakala ya cheti cha kuzaliwa
(iv) Picha mbili (passport size)
Barua ya utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa.
(vi) Maombi yapitie posta na barua ziandikwe kwa mkono.
How to Apply
E: MAOMBI YATUMWE KWA ANUANI IFUATAYO:
KAMISHINA MKUU WA UHAMJAJI,
S.L. P 512,
DAR ES SALAAM.
Mwisho wa kuwasilisha maombi ni tarehe 2 1/02/2013.
Tangazo hiLl linapatikana kupitia tovuti ya www.immigration.go.tz
Source:Mwananchi 1st Feb 2013

No comments:

Post a Comment