Saturday, 31 March 2012

DIAMOND APIGA SHOW KALI, HUKU WEMA SEPETU AKITIA AIBU UKUMBINI
Baada ya Barnaba kuimba wimbo wa 'Napembelezwa' ndipo mwana dada Wema alienda kumtuza na kutoa machungu yake. Kwa mujibu wa uchunguzi na maoni ya watu mbali mbali walikiona kitendo cha Wema Sepetu kwenda mbele kumtuza Diamond ni sawa na kujidhalilisha na kuhusishwa na mambo ya kishirikina.
Pia Justmine Loyce Bobbie alisema: Kwanini Wema anamfatafata mtoto wa watu kila kona? amuache na maisha yake jamani.. mbona Diamond hamfatilii lol, YATAMSHINDA 

Kwa picha na habari zaidi bofya hapa

No comments:

Post a Comment