Saturday, 7 April 2012

BREAKING NEWS!! KANUMBA HAYUPO TENA DUNIANI

BREAKING NEWS!!! KANUMBA AFARIKI DUNIA

Pichani Marehemu Steven Kanumba enzi za uhai wake

 Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa msanii maarufu wa filamu nchini bwana Steven Kanumba amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment