Wednesday, 15 February 2012

DAKTARI BINGWA ALIYEFANYA KAZI KIPINDI CHA MGOMO

Walimwengu walisema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, wakati madaktari wametingwa kudai chao huku mtaani kulikuwa na mtu akifanya kazi kwa ujuzi wa "kitaa" hapa katika picha daktari akimtoa jino mgonjwa.
Ukishacheka basi jiulize kwenda kutoa jino kwa huyu mtu ni kujitoa mhanga?
Madaktari wana umuhimu wao jama!!!!
~picture-just for funny no clear definition of what is done_funnypics.com

No comments:

Post a Comment