Wednesday, 3 October 2012

JIPATIE KITABU SASA NAMNA BORA YA KUANZISHA NA KUENDESHA NGOsJipatie Kitabu mahsusi kwa ajili ya wanaotaka kuanzisha na kuendesha Asasi zisizo za kiserikali (NGOs). Kitabu hiki ni bure kabisa, kinapatikana kwa anuani hiyo hapo chini. Mtu anaweza kudownload akajisomea kwa muda wake, au akasoma tuu online. Kitabu kinaelezea mambo ya msingi ya kufanya NGO iendeshwe kitalaamu mfano namna bora za kuitangaza NGO, jinsi ya kuingiza mapato, jinsi ya kusimamia miradi, jinsi ya kuandaa katiba, jinsi ya kusimamia maswala ya fedha ya NGO, n.k. NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU.http://www.slideshare.net/Johnieblog/starting-and-managing-ngo-ebook.

Pia unaweza kusoma machapisho mbalimbali katika Blogu yetu ya JohnJohnie na Unowbiz

No comments:

Post a Comment