Monday, 20 August 2012

TANGAZO LA KAZI

TANGAZO LA KAZI
AG PRESS INAPENDA KUWATANGAZIA KAZI VIJANA WA KITANZANIA WENYE MAKAZI YAO HAPA DARESALAAM NAFASI ZIFUATAZO:

1. secretary nafasi 1
SIFA:
1. Awe ana elimu ya kuanzia kidato cha nne
2. Awe ana ujuzi wa computer(office automation)
3. Umri kuanzia miaka kumi na nane na kuendelea
4. Awe mwenye hofu ya Mungu
5. Hii nafasi ipo wazi kwa wasichana tu.

2.Dark Room/Prepress
i. Awe ana elimu ya kuanzia kidato cha nne
ii. Umri kuanzia miaka kumi na nane na kuendelea
iii. Awe mwenye hofu ya Mungu
iv. Awe mwenye kukubali kufundishwa na kujifunza jambo jipya
v. Awe mwenye afya nzuri na kustahimili mazingira yeyote.
vi. Hii nafasi ipo wazi kwa wote,sema wavulana tunawapa nafasi kubwa sana.

Tuma maombi yako sasa mwisho alhamisi wiki hii tarehe 23 2012
Piga simu namba:0717109362
Email:djkilawe@gmail.com,mikonoconsult@gmail.com,


No comments:

Post a Comment