Tuesday, 30 July 2013

Sponsored::NILA Tech Computers Njombe ndio jibu lako!!!!!


Unahitaji kununua kompyuta? Usihangaike kusafiri umbali mrefu, sasa utapata laptop, desktop, ipads, computer accessories, photocopy machines, digital cameras, super market racks, checkouts and shelves na vingine vingi sana.

Mwezi huu kuna offer kali ambapo kila laptop utakayonunua utapewa modem au 2gb flash bureee bila kusahau bidhaa zote zimekuwa discounted 20% off!!! Universal 3.75G modem kwa tsh. 30,000/- tu

NILA Technology Computers ni wauzaji (jumla na rejareja) na wasambazaji wa kompyuta na vifaa vyake mkoani Njombe na nyanda za juu kusini pia wanauza kwa wateja walio mbali kwa kutumia mobile money na kutuma mzigo popote ulipo Tanzania Bara.

Location: NILA Technology Computers wanapatikana Mjini Njombe karibu kabisa na Club Vegas Mkabala na kituo cha mafuta cha Total

Wasiliana nao kwa simu namba 0755 903 669

Like page ya NILA kupata updates za ofa mbalimbali bofya hapa NILA Technology Computers


No comments:

Post a Comment