Wednesday, 25 July 2012

NAFASI ZA KAZI YA UWAKALA WA USAMBAZAJI VITABU

Mikono business consult ni washauri wa mambo ya biashara na ukocha wa biashara,Tuna Mradi mpya wa vitabu vya elimu ya ujasiriamali,tunatangaza nafasi za kazi za uwakala wa usambazaji vitabu vyetu kutoka katika mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani. KITABU CHETU KINAITWA SIRI ZA MAFANIKIO

SIFA ZA WAOMBAJI
1. Elimu kidato cha nne,sita nakuendelea
2. Awe anaweza kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha za kiswahili na kiingereza
3. Umri kuanzia miaka 18 hadi 50.
4. Awe maridadi na mwenye uwezo wakufanya kazi kwa uaminifu mkubwa na kwa kujisimamia
5. Uzoefu wa masuala ya usambazaji wa vitabu ama bidhaa yoyote litakuwa ni jambo litakalomuongezea nafasi ya kupata kaz ikatika mradi huu.

MAJUKUMU YA MAWAKALA:
Kuchukua vitabu kutoka kwetu na kuvisambaza kwa wateja wetu.


MALIPO KWA MAWAKALA
Mawakala watalipwa"commision"nzuri.

IDADI YA MAWAKALA WANAOHITAJIKA:
Idadi ya mawakala wanaohitajika ni:Daresalaam(10),Mwanza(4),Musoma(2),Arusha(2),Moshi(2),Zanzibari(2) na wakala mmojammoja kutoka mikoa mingine ambayo haijaorodheshwa.

MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 04 August 2012
Kwa waombaji waliopo Daresalaam wanaweza kuleta maombi yao katika ofisi zetu zilizopo Airport
Dar es salaam/karakata karibu na KBV bar.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI:
Tuma barua yako ya maombi ya uwakala kwa njia ya baruapepe,kwenda:mikonoconsult@gmail.com,deogratiuskilawe@yahoo.com. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 4 Agust 2012.Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba:0717109362, au 0687129469
WANAFUNZI WA VYUO VIKUU TUWAPA KIPAUMBELE ZAIDI.

No comments:

Post a Comment