Tangazo La Kazi Ya Muda Katika Mradi Wa Sensa Ya Watu Na Makazi Ya Mwaka 2012.
Serikali
ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inakamilisha maandalizi ya kufanya
Sensa ya Watu na Makazi ambayo itafanyika tarehe 26 Agosti, 2012. Ili
kufanikisha Sensa hii, Serikali inatangaza nafasi za kazi za muda za
MAKARANI NA MAKARANI WAANDAMIZI WA SENSA kwa Watanzania wenye nia na
sifa zinazostahili kama ilivyoainishwa katika tangazo hili. Kazi hii
itaanza tarehe 06 Agosti, 2012 na kumalizika tarehe 14 Septemba 2012.
No comments:
Post a Comment